Dada D Dagaa
Dada D Dagaa ni wauzaji wa dagaa wabichi waliokaangwa kutoka Ziwa Victoria, wanaandaliwa katika usafi wa Hali ya juu, Dagaa wetu hawana michanga, hawawashi, hawana uchungu, watamu sana na Wana ladha nzuri, wanafaa kwa kuwala kama walivyo au mapishi ya aina yoyote.
Dar es Salaam